FILAMU YA CHUMO YAZINDULIWA RASMI MOVENPICK
Filamu ya CHUMO
iliyoongozwa na Jordan Riber imezinduliwa rasmi leo jijini Dar es
salaam katika Hotel ya Movenpick usiku huu.Mgeni rasmi katika uzinduzi
huo alikuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr Haji Mponda.Wadau
mbalimbali wa Tasnia ya Filamu nchini na Raia mbalimbali kutoka nchi za
nje walihudhuria uzinduzi huo.Filamu ya CHUMO imechezwa na wasanii
Jokate Mwegello,Yusuph Mlela na msanii anayefahamika kwa jina la
sharobaro.
Muongozaji wa filamu ya CHUMO Jordan Riber akiongea na vyombo vya habariPata habari zaidi<<<< hapa >>>>
No comments:
Post a Comment