Header Ads

MKUTANO WA WADAU WA TEKNOHAMA WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM


Mkurugenzi wa Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dr Raynold Mfungahema akitoa mada kwa wadau wa Teknohama katika mkutano ulioanyika leo jijini Dar es Salaam
Katibu  mkuu Wizara ya Sayansi na Teknolojia,  Dr Florans Turuka akizungumza  leo mchana katika mkutano wa Wadau wa Teknohama uliofanyika makao makuu ya mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) jijini Dar es Salaam.Turuka alisema kuwa Wizara ya Mawasilian kwa kushirikiana na wadau ipo katika mpango mkubwa wa kupeleka Teknolojia ya mawasiliano vijijini kwa lengo la kuharakisha maendeleo kwa jamii ya Kitanzania inayoishi vijijini. Kushoto ni Dr Raynold Mfungahema, Mkurugenzi wa watumiaji wa mawasiliano TCRA. Mwingine ni Injinia Denis Libena kutoka ICT.
Wadau wa Teknohama wakiwa katika mkutano huo leo jijini Dar es Salaam.Picha na Mdau Victor Makinda

No comments:

Powered by Blogger.