Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo, akimkaribisha Ofisini kwake, Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama leo asubuhi. Mukama na Pengo walikuwa na mazungumzo ya faragha kwa zaidi ya dakika 45.
Mukama akisaini kitabu wa wageni ofisini kwa Polycarp Kardinali Pengo
kwa habari zaidi
No comments:
Post a Comment