HALI ILIVYOKUA JANA UDOM MARA BAADA YA WANAFUNZI KUPEWA MASAA 8 WASIONEKANE CHUONI
Hapo
ni mbele ya bweni namba nne ambalo linakaliwa na madada tu hali ilikua
mbaya pale ambapo wadada wengi walikua na mabegi mengi hali ambayo
ilibidi waite taksi kwa haraka ili kusudi muda ukifika wasiwepo chuoni
hapo. Na Chuo Kimefungwa Kwa Muda Usiojulikana Kutokana Na Mgomo
uliodumu kwa siku tatu mfululizo

No comments:
Post a Comment