BREAKING NEWS:
WANAFUNZI WA UDOM WAKUSANYIKA TENA KWENY UWANJA WA MPIRA WA KIKAPU KUJUA UAMUZI ULIOFIKIWA NA BUNGE LA SERIKALI YA WANAFUNZI
kwa habari zaidi bonyeza hapa chini
Bunge la serikali Ya Wanafunzi
Lilikaa jana na kutofikia muhafaka na kusababisha baadhi ya wabunge
kutaka kupigwa na mpaka sasa wanafunzi wamekusanyika katika uwanja wa
mpira wa kikapu kujua walichomua bungeni kwa yanayojiri tufute subira
tutawajuza muda si mrefu.....

No comments:
Post a Comment