Mkurugenzi Masoko Segum Macaulay akimkabidhi mshindi wa promosheni ya
Tusker Mathias Martin .Promosheni hiyo iliyoanza mapema mwezi huu ni ya
wiki kumi na itafikia kilele Julai mwaka huu.
Meneja wa Bia ya Tusker Rita Mchaki na Mkurugenzi Masoko wa Tusker
Segon Macaulay wakiwa na mshindi wa Promosheni ya Tusker Mathias Martin
mkazi wa Sinza Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mauzo wa Bia ya Tusker Segun Macaulay akikabidhi mfano wa hundi kwa
mshindi promosheni ya bia ya Tusker, Baraka Simon ambaye amekabidhiwa
leo mchana kwenye hafla iliyofanyika Katika Kiwanda Cha Serengeti
kilichopo Chang'ombe Dar es Salaam . Wanaoshuhudia tukio hilo ni Meneja
wa Tusker Rita Mchaki na Meneja Mauzo James Warange.
Meneja wa Bia ya Tusker Rita akizungumza ikiwa ni pamoja na kuwatambulisha washindi wa shindano linaloendelea la Tusker.
Reviewed by
crispaseve
on
4:41 PM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment