| Mh.Tundu Lisu |
Huu mfano mzuri sana
japo imemgharimu kwa kufungwa jimbo lisililo muhusu,pia anaonyesha kuwa yeye ndo swaiba wa ukweli wa jimbo la Tarime.Hi sheria imefata mkondo wake japo kuwa imeleta changamoto kwani wakienda viongozi wakubwa kama hawa sita hivi nafikiri huko magerezani haki zitafatwa na pia angalau walala hoi na wafungwa ,Labda watapewa haki zao kwani police wamekosea njia kumfunga mwanasiasa jela.. Sasa
jamaa katoka na kusema jela ya tanzania hazifai hata kidogo... Watu wanajiuliza sasa
sikuzote alikuwa hajui au walijisahau wakajua jela ni ya masikini peke yao na
si viongozi? Mi sijui lakini imesaidia mh.tundu lisu hadi akasema jamani haki
za binadamu hakuna gerezani....
No comments:
Post a Comment