MODELS WAPYA WAHITAJIKA
kama hivi yani kama unahitaji fanya mawasiliano na kampuni hii
Studio za Emptysoulz Production zimetangaza nafasi kwa Models wa Kike
na wa Kiume ambao watakuwa wakitumika katika Music Videos
pamoja na Matangazo ya Luninga
Kinachotakiwa ni kutuma PICHA tatu pamoja na NAMBA YA SIMU
kwa Mail ifuatayo: emptysoulzproduction@gmail.com
Kumbuka kazi zote utazoshiriki kama Model utalipwa kutokana na makubaliano
kabla ya kazi.


No comments:
Post a Comment