TTCL YAZINDUA BODI MPYA YA WAKULUGENZI

Waziri
wa Mawasilino,Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa akimpongeza
Mwenyekiti mpya wa bodi wa Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Dkt. Enos
BUkuku katikati ni Said Amir Said
Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa kulia akizungumza na Mwenyekiti mpya wa bodi ya Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Dkt. Enos Bukuku
wajumbe wapya na wazamani wakijadiliana baada ya kuzinduliwa bodi mpya.
No comments:
Post a Comment