Header Ads

MSHINDI WA PILI WA MISS VODACOM
         DAR CITY CENTER 

Mshindi wa pili wa shindano la Vodacom Miss Dar City Center Salha Israel akijibu swali wakati wa shindano hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Alexia William aliibuka mshindi na kutawazwa kuwa mlimbwende wa kituo hicho.

No comments:

Powered by Blogger.