JE UMEFANYA KAMA HUYU SIKU YA MAMA DUNIANI?
Juu na chini Ni Omby(BossLady) akiwa na mama yake kusherehekea Siku ya akina Mama Duniani
Nimependa sana huyu dada alivyoshow love kwa mama yake,But hivi ndo inavyotakiwa na je wewe umemfanyia nini mama yako? aiseeeee ...
..................much love.....................
Reviewed by
crispaseve
on
7:14 PM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment