Header Ads

11,MAY NI KUMBUKUMBU YA KIFO CHA BOB MARLEY 

R.I.P NESTA MARLEY.

Leo tarehe 11/5/2011 Watanzania na Dunia  kwa pamoja tunaungana katika iku ya kumbukumbu za Muasisi
wa mziki wa reggae Duniani,Ambaye alifariki mwezi May tarehe 11.
Tunapenda kuwakumbusha wapenzi wa mziki huu na hata wale wanaomjua  mkali huyu wa miondoko ya reggae Duniani, 
Wote kwa pamoja tuseme R.I.P
Nesta Marley.

No comments:

Powered by Blogger.