Rais Dkt.Jakaya Kikwete akiingia
katika uwanja wa michezo wa Amaan mjini Unguja kuognoza sherehe za miaka
47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akipokea heshima na kupigiwa mizinda 21 mara tu alipowasili katika
uwanja wa michezo wa Amaan mjini unguja kuongoza Sherehe za miaka 47 ya Muungano
wa Tanganyika na Zanzibar leo asubuhi
No comments:
Post a Comment