Header Ads

HABARI ZA ZILLA INC.


Kundi la mastaa wa HIPHOP Tanzania lijulikanalo kama ZILLA INC
linawahabarisha,Fahamisha kuwa limeanza mwaka 2011 na project yao
mpya ya kuachia ngoma hewani ikiwa ni kama harakati zautambulisho
wa kundi hilo kwa ujio wa mzigo wa ngoma 2 [mbili] zijulikanazo kama
HOLD MEDOWN & ONE MINUTE, zilizofanywa na SAGE STAR
[Emmanuel Frank King Sage jina analo2mia kwenye Facebook]
SAGE STAR ambaye ndo mpishi wa ngoma ya HOLD MEDOWN
iliofanywa kwenye za 24/7 inayomilikiwa na Producer al maaluf kwa jina
la VILLY
NA mzigo wa ONE MINUTE umepikwa na G HALLEY kwenye studio
 ileile ya 24/7 inayo ilikiwa na VILLY.
ngoma izo kwa sasa ndo zinazo hits kwenye radio station mbalimbali
MENGINEYO KUHUSU ZILLA INC 
    MTAYAPATA HIVI SOON .  

 


No comments:

Powered by Blogger.