FID Q IS BACK HOME. Tuesday, September 28, 2010 Kama dakika 10 zilizopita Fid Q amerudi kutoka USA alikoenda takribani miezi kadhaa. Mnyamwezi amefika salama na pichani hapo ni alivyokuwa anaondoka kuelekea Airport ya USA.
No comments:
Post a Comment