VideoMPYA: Wasanii wapya kutoka PUGU NATION wanakuletea video ya wimbo wao mpya.
Give you some more Ni wimbo ambao umefanywa na wasanii wachanga kutoka pugu
Wakiongozwa na lecture tz,njitu wa giza na yunar
Ni project iliyotengenezwa na producer wawili pino Tanzania
na fraga Video imeshotiwa na director khalafani Na imeshutiwa ndani ya Jiji la dar es salaam
No comments:
Post a Comment