Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa 
na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda na viongozi wengine 
aliporejea kutoka Zanzibar alikohudhuria sherehe za miaka 54 ya 
Mapinduzi leo January 12, 2018.Picha na IKULU
 
 
No comments:
Post a Comment