MASAUNI, DK. MAKAKALA WAZUNGUMZA NA WAVUVI MKOANI MARA,WAWAASA KUSHIRIKIANA NA VYOMBO VYA ULINZI KUDHIBITI UHALIFU
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza
na wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao za uvuvi Ziwa Victoria,
katika kijiji cha Nyang’ombe kilichopo wilayani Rorya, Mkoani
Mara.Katika ziara hiyo Naibu Waziri aliambatana na Kamishna Jenerali wa
Uhamiaji, Dk. Anna Makakala ikiwa na lengo la udhibiti uhalifu na
uingiaji wa kinyume na sheria kwa raia kutoka nchi jirani.Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kamishna
Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala , akizungumza na wananchi
wanaoishi na kufanya shughuli zao za uvuvi Ziwa Victoria katika kijiji
cha Nyang’ombe kilichopo wilayani Rorya, mkoani Mara. Lengo la ziara
hiyo ni kudhibiti uhalifu na kudhibiti uingiaji wa kinyume na sheria
kwa raia kutoka nchi jirani.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkuu
wa Mkoa wa Mara, Adam Malima, akizungumza na wananchi wanaoishi na
kufanya shughuli zao za uvuvi Ziwa Victoria katika kijiji cha Nyangombe,
kilichopo wilayani Rorya, mkoani Mara. Lengo la ziara hiyo ni
kudhibiti uhalifu na kudhibiti uingiaji wa kinyume na sheria kwa raia
kutoka nchi jirani.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mwananchi
wa kijiji cha Nyang’ombe akiuliza maswali kwa Naibu Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni, wakati wa ziara ya kikazi ambapo
naibu waziri aliongozana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna
Makakala, lengo la ziara hiyo ni kukagua udhibiti uhalifu na uingiaji
wa kinyume na sheria kwa raia kutoka nchi jirani.Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.
Wananchi
wakishangilia jambo wakati Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi,Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), akizungumza katika
mkutano uliofanyika kijiji cha Nyang’ombe ,wilayani Rorya. Naibu Waziri
yupo katika ziara ya kikazi ikiwa na lengo la kukagua udhibiti uhalifu
na uingiaji wa kinyume na sheria kwa raia kutoka nchi jirani.Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment