Tazama matangazo ya moja kwa moja kutoka Chato Mkoani Geita
Tazama
matangazo ya moja kwa moja kutoka Chato Mkoani Geita ambapo Mhe. Rais
John Pombe Magufuli atashuhudia makabidhiano ya nyumba 50 za watumishi
wa afya za mikoa ya Geita, Kagera na Simiyu.
Pia
atashuhudia makabidhiano ya kiwanda cha alizeti za Chato. Sherehe hizo
zinahudhuriwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William
Mkapa na Balozi wa Japan Mhe. Masaharu Yoshida.
Matangazo haya yatarushwa moja kwa moja na TBC1, Azam TV, TBC Taifa, Clouds TV na kupitia tovuti rasmi ya Ikulu ambayo ni www.ikulu.go.tz kuanzia saa 4:00 asubuhi hii.
Karibuni.
No comments:
Post a Comment