MAADHIMISHO YA SIKU YA KIFUA KIKUU DUNIANI MKOA WA SHINYANGA YAFANYIKA KWENYE MACHIMBO YA NYANGARATA
Mkurugenzi
wa halmashauri ya wilaya ya Msalala Simon Berege akimwongoza Mkuu wa
wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu aliyekuwa mgeni rasmi wakati wa
maadhimisho ya siku ya Kifua kikuu duniani mkoa wa Shinyanga kwenda
kukagua mabanda yaliyokuwa yanatoa huduma za kupima VVU,uchunguzi wa
kifua kikuu,tohara na huduma zingine za afya sambamba na zoezi la
kuandikisha watoto ili wapate vyeti vya kuzaliwa
Mkuu
wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu (mwenye suti nyeusi) na Meneja wa
AGPAHI kanda ya ziwa Dkt. Nkingwa Mabelele(kulia) wakisikiliza maelezo
ya wataalamu wa afya katika banda la kupimia VVU
Ndani ya banda la uchunguzi wa ugonjwa wa kifua kikuu-Wataalamu wa afya wakitoa maelezo kwa mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu
Zoezi
la tohara kwa wanaume linaendelea-Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Kahama
Fadhili Nkurlu akiwa katika banda la kutolea huduma ya tohara kwa
wanaume bure. Kwa Taarifa kamili BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment