WAZIRI NAPE NNAUYE APOKEA PICHA YA RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI ILIYOCHORWA NA KIKUNDI CHA ANGAVU
Waziri
 wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (kulia) 
akipokea picha ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
 Pombe Magufuli kutoka kwa Mwenyekiti wa Angavu Youth Group Athumani 
Salum (kulia) leo jijjini Dar es Salaam. Picha hiyo imechorwa kwa ustadi
 na kikundi cha Angavu Youth Group.
Muonekano
 wa picha ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John 
Pombe Magufuli iliyoichora kwa ustadi na kikundi cha Angavu Youth Group 
ambapo imekabidhiwa leo jijini Dar es Salaam kwa Waziri wa 
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye kwa niaba ya 
Mheshimiwa Rais.
Waziri
 wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye 
(katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kabla ya 
makabidhiano ya picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. 
John Pombe Magufuli iliyochorwa na kikundi cha Angavu Youth Group leo 
jijini Dar es Salaam. Picha hiyo imekabidhiwa kwa Waziri huyo kwa niaba 
ya Mhe. Rais. kushoto ni Mwenyekiti wa Angavu Youth Group Bw. Athumani 
Salum na kulia ni Katibu wake Bi. Oliver Charles.Picha na Anitha Jonas –
 MAELEZO
Waziri
 wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (kulia) 
akisikiliza kwa makini hotuba iliyokuwa ikisomwa na Katibu wa Angavu 
Youth Group Bi.Oliver Charles (katikati) wakati wa makabidhiano ya picha
 ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe 
Magufuli leo jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment