WAFANYABIASHARA WA KICHINA WAPEWA SOMO NA CHAMA CHA WAAJIRI(ATE).
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Dk.
Aggrey Mlimuka (kulia), akisalimiana na Msaidizi wa Balozi wa China
nchini Tanzania, Gou Hao Dong wakati wa semina iliyoandaliwa na ATE
kwa kushirikiana na Ubalozi wa China pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu,
Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu kuhusu sheria za kazi,
vibali vya kuishi na taratibu za kuingia nchini yenye lengo la kukuza
mahusiano ya China na Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja Kitengo cha Sheria wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE),
Suzanne Ndomba (kulia) akitoa ufafanuzi kuhusu masuala ya kisheria
wakati wa semina iliyoandaliwa na ATE kwa kushirikiana na Ubalozi wa
China pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu
wenye Ulemavu kuhusu sheria za kazi, vibali vya kuishi na taratibu za
kuingia nchini yenye lengo la kukuza mahusiano ya China na Tanzania.
Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Msaidizi wa Balozi wa China nchini Tanzania, Gou Hao Dong
(kulia), akizungumza wakati wa semina iliyoandaliwa na ATE kwa
kushirikiana na Ubalozi wa China pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,
Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu kuhusu sheria za kazi, vibali vya
kuishi na taratibu za kuingia nchini yenye lengo la kukuza mahusiano
ya China na Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki.
ya watoa mada wakati wa semina iliyoandaliwa na ATE kwa kushirikiana
na Ubalozi wa China pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana,
Ajira na Watu wenye Ulemavu kuhusu sheria za kazi, vibali vya kuishi
na taratibu za kuingia nchini yenye lengo la kukuza mahusiano ya China
na Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa
wiki.
No comments:
Post a Comment