Header Ads

MKURUGRNZI MKUU WA WAKALA WA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) ABURUZWA MAHAKAMANI KISUTU DAR

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Bw.Dickson Maimu (wa 3 kushoto), akiwa na wenzake Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu, muda huu Jumatano Agost 17,2016.

Huyu alitumbuliwa mapema mwaka huu na Rais JPM kwa ubadhilifu.Amin amin nawahakikishia kuwa tutaheshimiana tu hapa mjini siku si nyingi.

No comments:

Powered by Blogger.