KAMANDA MPINGA AHITIMISHA KILELE CHA SHINDANO LA UCHORAJI KWA AJILI YA KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI KATIKA SHULE ZA MSINGI JIJINI DAR
Hii
ni zawadi ya heshima (tuzo) iliyotolewa na kampuni ya Puma Energy
Tanzania na kukabidhiwa kwa mshindi wa kwanza,Mwanafunzi wa darasa la
sita kutoka shule ya Msingi Bunge,Veronika Inocent.
Mkurugenzi
Mkuu kutoka kampeni ya Puma Energy Tanzania Ltd,Philippe Corsaletti
akimkabidhi tuzo/zawadi ya Begi na cheti mwanafuzi wa darasa la sita
kutoka shule ya Msingi Bunge,Veronika Inocent baada ya kuibuka mshindi
wa kwanza katika Kilele cha shindano la Uchoraji kwa ajili ya
kuhamasisha usalama barabarani katika shule za msingi jijini Dar Es
Salaam kwa mwaka 2016,hafla hiyo fupi iliyoandaliwa na Kampuni ya Puma
Energy Tanzania ilifanyika mapema leo katika viunga vya shue ya msingi
Bunge.
Mashindano
hayo yalihusisha shule kumi kwa upande wa Dar Es Salaam ambazo ni
Mwananyamala,Kisutu,Bunge,Kisiwani,Mchangani,Mnazini,Mwananyamala
B,Mikocheni,Mtendeni,Kisutu,Kisiwani na Ugindoni,Shule nyingine tatu ni
kutoa mkoa wa Geita ambazo zitashiriki na mchakato wa kuwapata
washindi,matokeo ya washindi wa mwisho yatatangazwa wakati wa kilele cha
cha wiki ya Usalama barabarani ambayo inatarajia kufanyika hivi
karibuni
Mwanafuzi
wa darasa la sita kutoka shule ya Msingi Bunge,Veronika Inocent akilia
kwa furaha mara baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika Kilele cha
shindano la Uchoraji kwa ajili ya kuhamasisha usalama barabarani katika
shule za msingi jijini Dar Es Salaam kwa mwaka 2016,hafla hiyo fupi
iliyoandaliwa na Kampuni ya Puma Energy Tanzania ilifanyika mapema leo
katika viunga vya shue ya msingi Bunge.
Mkuu
wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini,Kamanda Mohamed Mpinga pamoja
na Waandaji kutoka kampuni ya Puma Energy Tanzania na AMEND wakitafuta
washindi watatu wa shindano la uchoraji katika masuala mazima ya
kuhamasisha usalama barabarani 2016.
Mkuu
wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini,Kamanda Mohamed Mpinga
akimkabidhi Mwanafunzi wa darasa la sita,Shaaban zawadi ya Begi na
Cheti,kutoka shule ya msingi Bunge baada ya kuibuka mshindi wa tatu
katika Kilele cha shindano la Uchoraji kwa ajili ya kuhamasisha usalama
barabarani katika shule za msingi jijini Dar Es Salaam kwa mwaka
2016,hafla hiyo fupi iliyoandaliwa na Kampuni ya Puma Energy Tanzania
ilifanyika mapema leo katika viunga vya shue ya msingi Bunge.
Mkuu
wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini,Kamanda Mohamed Mpinga
akimkabidhi Mwanafunzi wa darasa la sita Antonia Anthony zawadi ya Begi
na Cheti,kutoka shule ya msingi Mwananyamala baada ya kuibuka mshindi wa
pili katika Kilele cha shindano la Uchoraji kwa ajili ya kuhamasisha
usalama barabarani katika shule za msingi jijini Dar Es Salaam kwa mwaka
2016,hafla hiyo fupi iliyoandaliwa na Kampuni ya Puma Energy Tanzania
ilifanyika mapema leo katika viunga vya shue ya msingi Bunge.
Picha
ya Pamoja na Washindi watatu shindano la Uchoraji kwa ajili ya
kuhamasisha usalama barabarani katika shule za msingi jijini Dar Es
Salaam kwa mwaka 2016.
Baadhi ya Wanafunzi walioshiriki na kuibuka na zawadi kutoka Kampuni ya Puma Energy Tanzania .
Mkurugenzi
Mkuu kutoka kampeni ya Puma Energy Tanzania Ltd,Philippe Corsaletti
alisema kuwa shindano hilo linalenga kusaidia kuelimisha Wanafunzi wa
shule za msingi katika masuala ya Usalama barabarani."Mpangp wetu wa
usalama barabarani kwa mashule hapa Tanzania ulianza toka mwaka 2013 na
mpaka sasa shule za msingi zipatazo 30 zimeshiriki,ikiwa ni jumla ya
wanafunzi 38,638",alisema Philippe.Alisema kuwa shindano hilo pia
linalenga kumpatia Mwanafunzi nafasi ya kushiriki mawazo
No comments:
Post a Comment