RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA RASMI DARAJA LA KIGAMBONI, ALIBATIZA JINA LA DARAJA LA NYERERE.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akikata utepe huku viongozi wengine wakiushikilia kuashiria uzinduzi
rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar
es salaam leo Aprili 19, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akipata picha ya kumbukumbu viongozi wengine baada ya uzinduzi rasmi wa
Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es
salaam leo Aprili 19, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akiteta jambo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt Ramadhani Dau
wakati wa uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya
Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine wakitembea
juu ya Daraja la Kigamboni baada ya kulizindua katika wilaya mpya ya
Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016.
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment