WAZIRI NDALICHAKO AFANYA KIKAO NA MKUU WA WILAYA YA HAI,ANTHONY MTAKA.
Baadhi ya viongozi wa wilaya ya Hai,wakiwa katika kikao kidogo na Waziri Ndalichako.
Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka (kushoto) akimueleza jambo
Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi ,Prof Joyce Ndalichako
aliyefanya kikao kidogo na watumishi wa Elimu katika halmashauri ya
wilaya ya Hai.
Waziri Prof Ndalichako akizungumza na viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia elimu katika halmashauri ya wilaya ya Hai.
Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akimsikiliza kwa makini Prof Ndalichako.
No comments:
Post a Comment