MAKAMU WA RAIS NA RAIS WASHIRIKI KUAGA MWILI WA LETICIA NYERERE LEO.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akitia saini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha aliyekua Mbunge wa
Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere alifariki mwishoni mwa
wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa, wakati Makamu wa Rais
alipofika Nyumbani kwa Marehemu Msasani Dar es salaam leo Januari 21,
2016.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Makamu wa Rais mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilal
walipokutana Msasani Dar es salaam leo Januari 20, 2016 wakati wa kuaga
Mwili wa aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia
Nyerere alifariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
katikati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli
kulia na Rais mstaafu Dkt. Jakaya M Kikwete, wakizungumza walipokutana
leo Januari 20, 2016 Msasani Dar es salaam kwenye shuhuli ya kuaga Mwili
wa aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere
alifariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akitoa heshima za mwisho leo Januar 20,2016 wakati wa Mwili wa aliyekua
Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere alifariki
mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa.
(Picha na OMR).
No comments:
Post a Comment