JESHI LA POLISI KITENGO CHA USALAMA BARABARANI PAMOJA NA VODACOM TANZANIA WAENDESHA ZOEZI LA KUTOA ELIMU KWA MADEVA KUTOKUTUMIA SIMU WAKATI WAKITUMIA VYOMBO VYA MOTO.
Msaidizi
Mkaguzi Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani wa Wilaya ya Mtwara(DTO)
Ahmed Mutabuzi(wapili toka kushoto) akiwakiwaelimisha madereva wa mabasi
yanayofanya safari za mikoani kuhusiana na mwendelezo wa kampeni
ya”Wait to Send”inayotoa elimu kwa madereva kutokutumia simu na kilevi
wakati wote wakitumia vyombo vya moto,Zoezi hilo lilifanyika stendi kuu
ya mabasi ya Mtwara mjini,Katikati pichani ni Meneja Uhusiano wa Vodacom
Tanzania,Matina Nkurlu ambao ni wadhamini wakuu wa kampeni hiyo.
Madereva
wa mabasi ya Mkoani Mtwara yanayofanya safari za mikoa mbalimbali
wakimsikiliza Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu(wapili
toka kushoto)akiwasomea ujumbe maalum ambao ni kauli mbiu ya kampeni
ya”Wait to Send”inayotoa elimu kwa madereva kutokutumia simu na kilevi
wakati wote wakitumia vyombo vya moto,Zoezi hilo lilifanyika stendi kuu
ya mabasi ya Mtwara mjini,Kushoto ni Msaidizi Mkaguzi Mkuu wa Kikosi cha
Usalama Barabarani wa Wilaya ya Mtwara(DTO) Ahmed Mutabuzi.
Msaidizi
Mkaguzi Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani wa Wilaya ya Mtwara(DTO)
Ahmed Mutabuzi pamoja na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina
Nkurlu ambao ni wadhamini wakuu wa kampeni ya”Wait to Send” inayotoa
elimu kwa madereva kutokutumia simu na kilevi wakati wote wakitumia
vyombo vya moto wakipandika stika yenye ujumbe maalum wa kampeni hiyo
kwenye basi linalofanya safari za mikoani wakati wa zoezi hilo
lililofanyika stendi kuu ya mabasi ya Mtwara mjini.
Askari
wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Mtwara SGT.
Martin Muyomba(kushoto) akimpima kiwango cha pombe mwilini dereva wa
basi la kwenda mikoani, Masoud Ramadhani ikiwa ni mwendelezo wa kampeni
ya”Wait to Send” inayotoa elimu kwa madereva kutokutumia simu na kilevi
wakati wote wakitumia vyombo vya moto,Zoezi hilo lilifanyika stendi kuu
ya mabasi ya Mtwara mjini,Katikati pichani ni Meneja Uhusiano wa Vodacom
Tanzania,Matina Nkurlu ambao ni wadhamini wakuu wa kampeni hiyo.
Askari
wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Mtwara SGT.
Martin Muyomba(kushoto)akiandika maelezo ya Mohamed Rashid(kulia)ambaye
ni dereva wa basi linalofanya safari za mikoani ili ampime kiwango cha
pombe mwilini wakati wa zoezi la mwendelezo wa kampeni ya”Wait to Send”
inayotoa elimu kwa madereva kutokutumia simu na kilevi wakati wote
wakitumia vyombo vya moto,Zoezi hilo lilifanyika stendi kuu ya mabasi ya
Mtwara mjini,Katikati pichani ni Meneja Uhusiano wa Vodacom
Tanzania,Matina Nkurlu ambao ni wadhamini wakuu wa kampeni hiyo.
No comments:
Post a Comment