WAZIRI MKUU MAJALIWA ASALIMIANA NA VIONGOZI WA MOROGORO
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakisalimiana na viongozi
wa mkoa wa Morogoro wakati waliposimama kwa muda mjini Morogoro wakiwa
njiani kuelekea Dar es salaam wakitoka Dodoma Novemba 22, 2015. Kushoto
ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajabu Rutengwe (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment