PICHA:MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA SHEREHE ZA KUMWAPISHA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA
Rais John Magufuli akiwa katika
picha ya pamoja na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe Mary
Majaliwa baada ya kumwapisha Waziri Mkuu kwenye ikulu ndogo ya
Chamwinomjini Dodoma Novemba 20, 2015
Waziri Mkuu, Majaliwa kassim
Majaliwa akipongezwa na Mbunge wa Kyela, Dkt. Harrison Mwakyembe baada
ya kuapishwa kwenye ikulu ya Chamwino mjini Dodoma Novemba 20, 2015.
Waziri Mkuu, Majaliwa kassim
Majaliwa akipongezwa na Mbunge wa Isimani, William Lukuvi baada ya
kuapishwa kwenye ikulu ya Chamwino mjini Dodoma Novemba 20, 2015.
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim
Majaliwa akipongezwa na Baadhi ya waalikwa waliohudhuria sherehe za
kuapishwa kwake kwenye ikulu ndogo ya Cahamwino jijini Dar es salaam
Novemba 20, 2015
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary
Majaliwa akipongezwa na Mbunge wa Buchosa, Dkt.Charles Tizeba baada ya
Waziri Mkuu, Majaliwa kassim Majaliwa kuapishwa kwenye ikulu ya
Chamwino Dodoma Novemba 20, 2015.
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim
Majliwa akipongezwa na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Lindi, Sheikh Mtopa
baada ya kuapishwa kwenye ikulu ndogo ya Chamwino jijini Dar es salaam
Novemba 20, 2015.
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim
Majaliwa akipongezwa na Baadhi ya waalikwa waliohudhuria sherehe za
kuapishwa kwake kwenye ikulu ndogo ya Cahamwino jijini Dar es salaam
Novemba 20, 2015.
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim
Majaliwa akipongezwa na Baadhi ya waalikwa waliohudhuria sherehe za
kuapishwa kwake kwenye ikulu ndogo ya Cahamwino jijini Dar es salaam
Novemba 20, 2015.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary
Majaliwa akipongezwa na Mbunge wa Buchosa, Dkt.Charles Tizeba baada ya
Waziri Mkuu, Majaliwa kassim Majaliwa kuapishwa kwenye ikulu ya
Chamwino Dodoma Novemba 20, 2015.Picha na Ofisi ya Maziri Mkuu
No comments:
Post a Comment