Meneja
Uhusiano wa kampuni ya TTCL, Nicodemus Thomas ( wa pili kulia)
akimkabidhi moja ya mashuka Ofisa Muuguzi Mkuu wa Kituo cha Afya cha
Buguruni, Alvera Mtembelea (wa tatu kulia) ikiwa ni sehemu ya msaada
uliotolewa na kampuni ya TTCL leo kwa Kituo cha Afya Buguruni cha jijini
Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni Ofisa Uhusiano wa TTCL, Amanda
Luhanga akishuhudia zoezi hilo. TTCL leo imekabidhi msaada wa mashuka
100, vyandarua 100, maboksi ya dawa mbalimbali pamoja na vifaa tiba
vingine li kukabiliana na changamoto anuai za afya zinazokikabili kituo
hicho. |
No comments:
Post a Comment