Wanamuziki wa WizKid wawasili tayari kwa Onesho lao usiku wa leo
Wakiingia katika basi tayari kwa msafara |
Watumiaji mbalimbali wa vyombo vya muziki wa msanii Wizkid wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere tayari kwa shoo yao ya leo katika Viwanja vya Leaders. |
Huyo mwenye fulana nyeusi anaitwa Snipes ndio kiongozi wa bendi ya msanii Wizkid. |
No comments:
Post a Comment