NMB MOSHI WATOA POLE KWA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB katika matawi ya Nelson Mandela na Mawenzi wakiwasili katika hosptali ya rufaa ya KCMC . |
Meneja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela ,Emanuel Kashusho akizungumza jambo na afisa habari wa hospitali ya rufaa ya KCMC Gabriel Chiseo.(Kulia). |
Afisa Uhusiano wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC akitoa maelezo kwa wafanyakazi wa Benki ya NMB,matawi ya Moshi mjini waliotembelea hosptalini hapo kutoa zawadi na kuwapa pole wagonjwa. |
Wafanyakazi wa NMB Moshi wakimsikiliza afisa habari wa KCMC,Gabriel Chiseo (Hayupo pichani). |
Wafanyakazi wa Benki ya NMB matawai ya Moshi wakishusha zawadi tayari kugawa kwa wagonjwa katika hospitali ya Rufaa ya KCMC. |
No comments:
Post a Comment