MAKAMU WA RAIS DKT.BILAL AMWAKILISHA RAIS JAKAYA KUZINDUA HALOTEL TANZANIA
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
(katikati) akizungumza jambo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto) na
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, wakati walipokuwa
kwenye Hafla ya uzinduzi wa Mtandao mpya wa simu za Halotel Tanzania,
iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam,
jana usiku Okt 15, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Waziri wa Mawasiliano wa Vietnam,Nguyen Bac Son, wakati
walipokutana kwa mazungumzo kwenye hafla ya uzinduzi wa Mtandao mpya wa
simu za Halotel Tanzania, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt
Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 15, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Waziri wa Mawasiliano wa Vietnam,Nguyen Bac Son, wakati
walipokutana kwenye hafla ya uzinduzi wa Mtandao mpya wa simu za Halotel
Tanzania, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es
Salaam, jana usiku Okt 15, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi, Waziri wa Mawasiliano wa Vietnam,Nguyen Bac Son,
wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mtandao mpya wa simu za Halotel Tanzania,
iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam,
jana usiku Okt 15, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
(wa tatu kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (wa
pili kushoto) Waziri wa Sayansi na Teknolojia) Makame Mbarawa (kushoto)
Waziri wa Mawasiliano wa Vietnam, Nguyen Bac Son (wa tatu kulia) na
wasaidizi wake (kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mtandao mpya wa
simu za Halotel Tanzania, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt
Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 15, 2015.
No comments:
Post a Comment