BREAKING NEWS MGOMBE URAIS WA CHAMA CHA MAPINDUZI MH JOHN POMBE MAGUFULI AMETANGAZWA MSHINDI WA KITI CHA URAIS
BREAKING NEWS: Mgombea urais wa chama cha CCM Mh. John Pombe Magufuli
ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania kwa awamu ya tano kwa kupata kura milioni 8,882,933 dhidi
ya mpinzani wake wa karibu Edward Lowassa aliyepata kura milioni
6,072,848
HONGERA DK. JOHN POMBE MAGUFULI
No comments:
Post a Comment