Rais Kikwete akutana na Koffi Annan Geneva

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungmzo na Katibu Mkuu
Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Koffi Annan mjini Geneva leo.Watau kushoto
ni Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Geneva Mh.Modesti
Mero.Koffi Annan alikuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kati ya mwaka
1997 na 2006. Picha na Freddy Maro

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa
Mataifa Koffi Annan mjini Geneva baada ya mazungumzo yao leo jijini
Geneva
No comments:
Post a Comment