CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA (CHAUMMA) CHAMTANGAZA MGOMBEA KITI CHA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CHAMA HICHO.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma Zanzibar (CHAUMMA) Faki Salum
Abdalla akitoa salamu za Chama hicho wakati wa Mkutano na waandishi wa habari
(hawapo pichani) wa kumtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho
katika Ukumbi wa Umoja wa watu wenye ulemavu Kikwajuni Mjini Zabnzibar.
Picha No.
2152- Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza mgombea nafasi ya Rais wa
Zanzibar kupitia CHAUMMA katika Ukumbi wa Umoja wa watu wenye ulemavu Kikwajuni
Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Wanahabari waliohudhuria mkutano huo
Katibu Mkuu wa CHAUMMA Ali Omar Juma akitowa wasfu wa mgombea nafasi ya
Rais wa Zanzibar kupitia Chama hicho katika mkutano na waandishi wa habari
uliofanyika Ukumbi wa Umoja wa watu wenye ulemavu Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mgombea Kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mohd Masoud Rashid akijitambulisha
na kueleza sera zake mbele ya waandishi wa habari katika Ukumbi wa Umoja wa
watu wenye Ulemavu Kikwajuni, Mjini
Zanzibar. (kulia) mgombea mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kupitia chama hicho Issa Abass na (kushoto) Katibu Mkuu Ali Omar Juma. Picha na
Makame Mshenga-Maelezo Znz.
No comments:
Post a Comment