RAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN AWAFARIJI WALIOPATWA NA MAAFA YA MVUA ZANZIBAR
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimfariji Bibi Fatma Abdalla Turufino Mkaazi wa Uwanja wa Farasi na
Kwahani Mjini Zanzibar wakati alipofanya ziara ya hafla leo kutembelea
wananchi wa sehemu hiyo waliopatwa na maafa ya kuingiliwa na maji ya
mvua iliyonyesha juzi na kupelekea maafa yaliyosababisha kukosa
makaazi bora, [Picha na Ikulu.)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na wasaidizi wake alipofika Uwanja wa Farasi na Kwahani Mjini
Zanzibar leo wakati alipofanya ziara ya hafla kutembelea wananchi wa
sehemu hiyo waliopatwa na maafa ya kuingiliwa na maji ya mvua
iliyonyesha juzi na kupelekea maafa yaliyosababisha kukosa makaazi bora,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na wananchi wa Uwanja wa Farasi na Kwahani Mjini Zanzibar
wakati alipofanya ziara ya hafla leo kutembelea wananchi wa sehemu
hiyo waliopatwa na maafa ya kuingiliwa na maji ya mvua iliyonyesha
juzi na kupelekea maafa yaliyosababisha kukosa makaazi bora,
Hapa ni Mtaa wa Mwanakwerekwe ambapo pamefanyika shimo kubwa akama linavyoonekanwa kutokana na mvua iliyonyesha juzi na kupelekea uharifu ambao fedha nyingi zitatumika kufukia eneo hili pia Rais wa Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alitembelea wakati alipofanya ziara ya makusudi leo kutembelea maafa
mbali mbali yaliyotokea kutokana na Mvua hiyo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa Injinia Ramadhan China wa Idara ya Ujenzi
wakati alipofanya ziara ya hafla leo kutembelea Maeneo ya Mwanakwerekwe
Mjini Unguja kuangalia maafa mbali mbali yaliyowakumba wananchi wa
sehemu hiyo kwa kuvunjikiwa na nyumba zao kutokana na mvua kubwa
iliyonyesha juzi na kupelekea hasara mabali mbali,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akitoa maelekezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili
wa Rais Mohamed Aboud Mohamed leo wakati wakati
alipofanya ziara ya hafla ya kutembelea Maeneo ya Mwanakwerekwe Mjini
Unguja kuangalia maafa mbali mbali yaliyowakumba wananchi wa sehemu
hiyo kwa kuvunjikiwa na nyumba zao kutokana na mvua kubwa iliyonyesha
juzi na kupelekea hasara mabali mbali (kulia) Mkuu wa Mkoa Mjini
Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akitoa maelekezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili
wa Rais Mohamed Aboud Mohamed (kulia) wakati wakati
alipofanya ziara ya hafla ya leo kutembelea Bwawa la Maji la
Mwanakwerekwe Mjini Unguja kuangalia namana lilivyofurika Maji ya mvua
kubwa iliyonyesha juzi na kupelekea hasara mabali mbali kwa Wananchi,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Sheha wa Shehia ya Tomondo
Mohamed Iddi (kulia) alipofika leo kuangalia maafa yaliyomkuta Bibi
Mwanahamis Takrima Mohammed (aliyekaa) kwa kuvunjikiwa na nyumba yake kutokana
na mvua kubwa iliyonyesha juzi na kupelekea hasara mabali mbali (wa
pili kulia) Mkuu wa Wilaya Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud,
Baadhi
ya Nyumba za wananchi wa Ziwamaboga Wilaya ya Magharibi zilizoathirika
kwa kuingiliwa na maji ya mvua mkubwa iliyonyesha juzi na kepelekea
hasara mbali mbali kwa Wananchi wanaoishi maeneo ya pembezoni mwa ziwa
hilo ambapo leo Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alitembelea na kuona hasara zilizotokea akiwa na Viongozi mbali mbali wa
Serikali.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akimueleza jambo Mkuu wa Wilaya ya Magharibi Ayoub Mohammed
Mahmoud wakati alipotembeleabaadhi
ya Nyumba za wananchi wa Ziwamaboga Wilaya ya Magharibi zilizoathirika
kwa kuingia na maji ya mvua iliyonyesha juzi na kepelekea hasara mbali
mbali, katika ziara hiyo Mhe, Rais alifuatana na Viongozi mbali mbali
akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis,
No comments:
Post a Comment