 |
Mbunge
wa Ludewa Deo Filikunjombe akishirikiana,viongozi wa CCM , wananchi na
mafundi wa mradi wa umeme kubeba nguzo za umeme katika kitongoji cha
Ngalawale Ludewa kijijini kama sehemu ya kuhamasisha wananchi kushiriki
maendeleo |
 |
Mbunge
Filikunjombe wa kwanza kulia na katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Njombe
Honoratus Mgaya wa kwanza kulia wakishirikiana na mafundi wa maradi
wa umeme vijiji kuvuta kama kwa ajili ya kusimamisha nguzo ya umeme |
mbunge Filikunjombe kulia na diwani wa kata ya Ludewa Monica Mchilo wakifukia nguzo ya umeme
Wananchi na mbunge wakisaidiana kufukia nguzo ya umeme
No comments:
Post a Comment