RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA JAPAN
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa Japan Mhe.Masaki
Okada ikulu jijini Dar es Salaam wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga
baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi nchini.(picha na Freddy
Maro)
No comments:
Post a Comment