Wachezaji wa Jambo Leo mpira wa miguu (wenye jezi rangi nyekundu)
wakitoka uwanjani mara baada ya kufungwa goli la 3 na kususia mchezo huo
kwa madai uwanja umeharibika kwa kujaa maji. Mchezo huo ulivunjika
katika dakika 69
Wachezaji wa timu ya NSSF mpira wa miguu wakitoka uwanjani huku wakipongezana
mara
baada ya mwamuzi kumaliza pambano lao na timu ya Jambo Leo. NSSF
walipewa ushindi wa magoli 3-0. Baada ya Timu ya Jambo Leo kukimbia
uwanjani baada ya kufungwa goli la 3 katika dakika 69 ikisingizia uwanja
mbaya
Wachezaji wa timu ya NSSF mpira wa miguu wakitoka uwanjani mara baada
ya mwamuzi kumaliza pambano lao na Jambo Leo na kupewa ushindi wa magoli
3-0. Timu ya Jambo Leo ilikimbia uwanjani baada ya kufungwa goli la 3
katika dakika 69 ikisingigia uwanja mbaya
Baadhi ya viongozi na wachezaji wa akiba wa Timu ya Uhuru Media wakifuatilia pambano lao na Sahara Media.
NSSF CUP Jambo Leo wakimbia uwanja, Baada ya kuchapwa 3-0 na NSSF
Reviewed by
crispaseve
on
4:48 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment