MKUU MPYA WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA AANZA KAZI KWA KASI
Mkurugenzi
wa Manispaa ya Kinondoni, Eng. Mussa Natty akitoa maelezo kwa Mkuu wa
Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (wa kwanza kushoto) ambapo alisema
miradi ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari katika wilaya hiyo
itagharimu zaidi ya sh. bilioni 2. na kuwa ujenzi wake unasimamiwa na
waataalamu waliobobea katika shughuli hiyo.
FUPA
uliomshinda Waziri wa zamani wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya
Makazi Profesa Anna Tibaijuka kuhusu migogoro ya ardhi iliyokithiri
katika Manispaa ya Kinondoni Mkuu mpya wa wilaya hiyo Paul Makonda
ameahidi kuutafuna.
Mkurugenzi
wa Manispaa hiyo Mussa Natty alisema miradi hiyo yote ya ujenzi wa
maabara katika shule za sekondari katika wilaya hiyo itagharimu zaidi ya
sh. bilioni 2. na kuwa ujenzi wake unasimamiwa na waataalamu waliobobea
katika shughuli hiyo.
Mkurugenzi
wa Manispaa ya Kinondoni, Eng. Mussa Natty akimuonyesha Mkuu wa Wilaya
ya Kinondoni Paul Makonda jinsi maabara hiyo ilivyojengwa kwa ubora wa
hali ya juu.
No comments:
Post a Comment