exim bank (Tawi la Babati) yashiriki bonanza la michezo Babati
Kikosi cha Timu ya Benki ya Exim Tawi la Babati katika picha ya pamoja
kabla ya mchezo wa kirafiki kuanza kati ya timu hiyo ya Benki na timu ya
Babati Citizens FC wakati wa Bonanza la michezo lililofanyika mwishoni
mwa wiki Babati. Bonanza hilo liliandaliwa na ofisi ya mkuu wa mkoa
mkoani Manyara lilikiwa na lengo la kukuza michezo mkoani hapo.
No comments:
Post a Comment