MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI DAR
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam Ndugu Raymond Mushi wakati akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi
Mmoja katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani
Dar esb Salaam terehe 8.3.2015.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipunga mkono ikiwa ni ishara ya
kuyapokea maandamano ya akina mama wa Mkoa wa Dar es Salaam kwenye
viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya
wanawake duniani tarehe 8.3.2015. Salma Kikwete wakifuatiwa na Jeshi la zimamoto.
Mamia
ya wafanyakazi wanawake na baadhi ya wanaume waliofurika kwenye viwanja
vya Mnazi Mmoja wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea
kwenye siku ya maadhimisho ya wanawake duniani.
No comments:
Post a Comment