Waziri wa Ujenzi aanza ziara ya Ukaguzi wa barabara mikoani ya Rukwa na Katavi
Sehemu ya barabara ya Tunduma-Sumbawanga km 225 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiwahutubia wananchi hao wa Tunduma.
Wananchi wa Sumbawanga mjini wakifurahia hotuba ya Waziri wa Ujenzi kuhusu ujenzi wa barabara za
lami mkoani Rukwa.
Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiagana na wananchi wa Tunduma mara baada
ya kuwahutubia na
kuwaahidi ujenzi wa barabara ya Tunduma mjini kwa
njia nne ili kupunguza kero ya msongamano wa malori katika eneo hilo.
Mamia
ya wakazi wa Tunduma wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli
mara baada ya kumsimamisha alipokuwa njiani kuelekea mkoani Rukwa kwa
ajili ya Ukaguzi wa barabara za mkoa huo
No comments:
Post a Comment