Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ampa pole Chief wa Wahehe , Adam Abdu Sapi Mkwakwa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na Chief wa Wahehe , Adam Abdu Sapi Mkwawa wakati
alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa Februari 20, 2015
baba yake Chief huyo, Marehemu Abdu Adam Sapi Mkwawa uliotokea hivi
karibuni.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akishiriki katika dua mbele ya kaburi la marehemu Abdu Adam Sapi
Mkwawa wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa
kuhani.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizunbgumza na viongozi wa wilaya ya Kilolo baada ya kusomewa taarifa
ya wilaya hiyo Februari 21, 2015. Kushoto ni Mkuu wa koa wa Iringa,
Amina Masenza.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na
mkewe Tunu wakisalimiana na walimu wa sekondari ya Ilula kabla ya
kukagua ujenzi wa maabara katika shule hiyo akiwa katika ziara ya mkoa
wa Iringa.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akikagua moja ya madarasa ambayo yamegeuzwa kuwa maabara katika Shule ya
Sekondari ya Ilula akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 21,
2015. Kitendo hicho hakikumfurahisha na aliagiza kisirudiwe tena sehemu
nyingine ngo mapya yajengwe kwa ajili ya maabara
Mke wa Waziri Mkiuu, Mama Tunu
Pinda akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ilulawilayani
Kilolo ambako Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alikagua ujernzi wa maabara na
kuhutubia wananchi.
No comments:
Post a Comment