WAZIRI HAWA GHASIA AZINDUWA BODI MPYA YA WADHAMINI YA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(Tamisemi), Hawa Ghasia akitoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa bodi
mpya ua wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF |
Profesa, Hasa Mlawa, akizungumza katika hafla hiyo.
Waziri wa Kazi na Ajira Gaudentia Kabaka akichangia jambo kwenye uzinduzi huo.
Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Eliud Sanga akizungumza machache kwenye uzinduzi huo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF
Profesa, Hasa Mlawa
(kulia), akimkabidhi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia picha yenye nembo ya mfuko
huo kwenye hafla ya uzinduzi wa bodi mpya ya wadhamini ya mfuko wa
LAPF na kuiaga bodi iliyomaliza muda wake iliyofanyika makao makuu ya
mfuko huo Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Profesa, Hasa Mlawa
(kulia), akimkabidhi Waziri wa Kazi na Ajira Gaudentia Kabaka picha
yenye nembo ya mfuko huo kwenye hafla ya uzinduzi wa bodi mpya ya
wadhamini ya mfuko wa LAPF na kuiaga bodi iliyomaliza muda wake
iliyofanyika makao makuu ya mfuko huo Dar es Salaam jana. Kushoto ni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(Tamisemi), Hawa Ghasia.
Wajumbe wa bodi ya LAPF iliyomaliza muda wake.
Wajumbe wa bodi ya LAPF iliyomaliza muda wake.
Wajumbe wapya wa bodi ya LAPF
Mgeni
rasmi wa uzinduzi huo Waziri Hawa Ghasia (katikati mbele waliokaa),
akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya zamani ya LAPF
iliyomaliza muda wake. Kushoto kwa waziri Ghasia ni Waziri wa Kazi na
Ajira, Gaudentia Kabaka ambaye wizara yake inasimamia mifuko hiyo ya
kijamii.
Mgeni
rasmi wa uzinduzi huo Waziri Hawa Ghasia (katikati mbele waliokaa),
akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wapya wa bodi ya LAPF.
No comments:
Post a Comment