WATAALAM WA KUJITOLEA KUTOKA JAPAN WATUA NCHINI KUTOA HUDUMA KATIKA SEKTA MBALIMBALI
Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi (katika
kiti kikubwa) akiongea na wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japani
waliomtembelea ofisini kwake kujitambulisha
Wataalam
wa kujitolea kutoka nchini Japani wakipiga makofi kumshukuru Katibu Mkuu, Ofisi
ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi mara baada ya
kuwakaribisha nchini kufanya kazi sekta mbalimbali.
Sehemu
ya wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japani waliokuja nchini kutoa huduma kwa
kujitolea katika maeneo mbalimbali wakitoka nje ya Ofisi ya Ofisi ya Rais, Menejimenti
ya Utumishi wa Umma baada ya hafla fupi ya kuwakaribisha nchini.
Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi (wa
nne toka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wataalam wa kujitolea kutoka nchini
Japani waliokuja kwa ajili ya kutoa huduma katika maeneo mbalimbali nchini.
No comments:
Post a Comment