Warsha ya Mafunzo ya kuandaa vigezo vya mikakati ya Kitaifa ya kupunguza Gesijoto Mkoani Bagamoyo.

Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira, Ofisi ya
Makamu wa Rais, Dk. Julius Ningu (katikati) 
ambaye pia ni Mgeni Rasmi katika 
Warsha ya Mafunzo ya  kuandaa
vigezo vya mikakati ya Kitaifa ya kupunguza Gesijoto,  akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Warsha
hiyo njee ya Ukumbi wa Stella Maris Mkoani 
Bagamoyo leo . Kulia kwake ni Mkufunzi kutoka UNDP- New York,  Dk. Deborah Cornland na kushoto  kwake ni Mkufunzi kutoka Carboni Africa-
Nairobi  Faith Nangabo. (Picha na OMR)
.png)
Mkurugenzi  Idara ya Mazingira, Ofiisi ya Makamu wa Rais,
Dk. Julius Ningu akifungua  Warsha ya
Mafunzo ya kuandaa vigezo vya mikakati ya Kitaifa ya kupunguza Gesijoto Mkoani
Bagamoyo leo . wa kwanza kushoto  ni
Mtaalam wa Nishati na Mabadiliko Tabianchi kutoka UNDP- Dar es Salaam, Bw.
Abbas Kitogo na wa kwanza  kulia  ni Dk. Deborah Cornland kutoka UNDP- New
York.
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment