TFDA kufungua ofisi kanda ya kusini

Mkurugenzi mkuu wa TFDA, Hiiti Sillo (katikati), akiwa na Mkuu wa Mkoa
wa Mtwara, Mhe. Halima Dendegu (wa kwanza kulia), katika ziara yake ya
kikazi mkoani Mtwara ikiwa ni harakati za awali za TFDA kufungua ofisi
ya Kanda ya Kusini kwa lengo la kusogeza huduma karibu na wananchi.
Kushoto ni Mfamasia wa mkoa wa Mtwara Bw. Musa Nasoro.
No comments:
Post a Comment